Skip to main content
Skip to main content

Radio Citizen na Egesa FM zaendeleza ujumbe wa umoja

  • | Citizen TV
    391 views
    Duration: 1:52
    Vituo vya Radio Citizen na Egesa FM vinavyomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services vilijumuika na waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, katika ziara zinazolenga kuwashukuru wasikilizaji wao na kuendeleza ujumbe wa umoja wa kitaifa.