14 Oct 2026 8:19 pm | Citizen TV 5,937 views Duration: 3:58 Hayati Raila alitangamana na watu wa kawaida. Raila alienzi sana tamaduni za jamii ya Waluo. Ajiki alikutana na Raila kwenye ukumbusho wa Jaramogi. Nicholas Owino alikuwa akiongoza maandamano.