- 20,592 viewsDuration: 2:18Rais William Ruto amemshambulia seneta wa Nairobi ambaye pia ni mgombea wa urais wa muungano wa Linda Mwananchi, akisema pendekezo lake la kuondoa ushuru wa nyumba utawanyang'anya maelfu ya wakenya nafasi za ajira.akizungumza katika kaunti ya elgeyo marakwet, rais Ruto alisema atawaonyesha cha mtema kuni viongozi hao wa upinzani katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.