Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto amhamisha Bitok huku akifanya mabadiliko katika elimu

  • | Citizen TV
    9,739 views
    Duration: 36s
    Julius Bitok ameondolewa kama Katibu wa Wizara ya Elimu ya Msingi na kuhamishwa kuwa Katibu katika Wizara ya Utalii. Badala yake, Rais William Ruto amembadilisha Bitok na John Lekakeny Ololtuaa aliyekuwa akihudumu katika Wizara ya Utalii. Hatua ya Rais Ruto inaonekana kujiri kufuatia msururu wa misukosuko katika sekta ya elimu nchini, iliyoshuhudia migomo na kuchomwa kwa shule kadhaa katika muhula huu wa elimu.