- 50,425 viewsDuration: 3:48Siasa za ushindani zinapozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, lugha inayotumiwa na viongozi inazua mjadala kuhusu mipaka ya mashindano ya kisiasa na wajibu wa viongozi katika kudumisha umoja wa taifa. Kiongozi wa Taifa William Ruto akiwekwa katika mizani anapokabiliana na seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya