Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atetea mpango wake wa kufadhili kikamilifu wanafunzi wote watakaojiunga na vyuo vikuu

  • | NTV Video
    200 views
    Duration: 1:44
    Rais William Ruto ametetea mpango wake wa kufadhili kikamilifu wanafunzi wote watakaojiunga na vyuo vikuu akisisitiza kuwa elimu ndiyo uwekezaji muhimu zaidi kwa taifa licha ya wasiwasi kuhusu gharama ya mpango huo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya