Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atoa wito wa kubuniwa upya kwa mifumo ya afya barani Afrika

  • | KBC Video
    87 views
    Duration: 2:40
    Rais William Ruto ametoa wito wa kubuniwa upya kwa mifumo ya afya barani Afrika ili kuboresha utoaji wa huduma za afya kote barani. Akizungumza wakati wa mkutano wa kikanda kuhusu afya ulioandaliwa katika chuo kikuu cha Aga Khan jijini Nairobi, Ruto alizihimiza serikali kuhakikisha ufadhili endelevu wa afya, akisikitika kwamba kwa sasa bara Afrika linaagiza zaidi ya asilimia 90 ya bidhaa za matibabu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive