Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awalaumu upinzani kwa kupotosha Wakenya

  • | Citizen TV
    3,637 views
    Duration: 1:59
    Rais william ruto ameendeleza mashambulizi yake dhidi ya kiongozi wa chama cha the equitable party seneta wa nairobi edwin sifuna, akisema chama chake alichozindua siku kadhaa zilizopita, kitawapotosha wakenya na kuwa hakina ajenda yoyote kwa wakenya. Rais ruto yuko katika ziara ya kaunti za west pokot na trans nzoia.