Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azuru mlima Kenya, asema atakamilisha miradi

  • | Citizen TV
    7,948 views
    Duration: 2:39
    Rais William Ruto ameanza ziara yake ya siku tatu mlima Kenya kwa kuhudhuria ibada katika eneo bunge la Othaya. Rais Ruto akitoa hakikisho kuwa ahadi alizotoa kwa watu wa mlima Kenya atazitimiza kabla ya kutafuta kura za muhula wa pili.