- 1,487 viewsDuration: 1:02Rais William Ruto aongoza hafla ya maombi ya kitaifa jijini Nairobi. Hafla hiyo yalenga kuimarisha utangamano wa kitaifa unaojiri wakati ambapo kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uchochezi wa kikabila na madai ya njama ya wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Aidha hafla hiyo pia yajiri wakati ambapo gharama ya mafuta imepanda zaidi na kuibua wasiwasi miongoni mwa wananchi