- 1,175 viewsDuration: 8:40Rais William Ruto aongoza kikao cha kuadhimisha siku ya katika katika jumba la mikutano la KICC jijini Nairobi. Kikao hicho chawaleta pamoja wadau mbalimbali kuadhimisha miaka 16 tangu katiba ya sasa Kuanza kutumika.maadhimisho hayo yanafanyika humu nchini na katiba balozi mbalimbali ughaibuni.