28 Jul 2026 10:52 am | Citizen TV 3,052 views Duration: 1:16 Siasa za kumpigia debe raisi William Ruto zaedelea kupamba moto ukambani huku baadhi ya viongozi ambao wanaunga mkono serikali wakikita kambi Kitui.