Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto asaini miswada miwili ya sheria za ushuru za 2026

  • | Citizen TV
    837 views
    Duration: 47s
    Rais William Ruto ametia saini mswada wa Sheria za Ushuru wa 2026, na Mswada wa Marekebisho ya Mamlaka ya Ushuru ya Kenya KRA wa , 2026, katika ikulu ndogo ya Eldoret , Kaunti ya Uasin Gishu.