- 1,122 viewsDuration: 3:06Rais William Ruto ametangaza kuondolewa kwa malipo ya kibiashara kwa zaidi ya vijana laki moja waliofaidi ruzuku ya mradi wa serikali wa nyota kote nchini. Akizindua awamu ya pili ya mradi huo hapa Nairobi, Rais amesema hatua hii itawezesha vijana wajasiriamali kuimarisha biashara zao kutokana na mraji waliopewa na serikali.