- 4,860 viewsDuration: 4:02Rais William Ruto anatazamiwa kufungua rasmi maonyesho ya kilimo tawi la Mombasa hii leo. Maonyesho hayo yalianza hapo jana na yamewavutia washiriki zaidi ya 1,000 yakilenga kupiga jeki kilimo cha kisasa na uwekezaji. Francis Mtalaki anajiunga nasi mbashara kutoka Mombasa