- 15,388 viewsDuration: 3:25Refa kutoka Somalia ambaye alizuia kuingia Marekani kushiriki kombe la dunia amerejea nchini kwao ambapo alipokewa kwa shangwe na serikali na wakazi wa Mogadishu. Omar Artan ambaye alitawazwa refa bora barani Afrika mwaka jana amesema uamuzi wa Marekani usiwakoseshe usingizi raia wa Somalia. Kwa upande wake Marekani imesema uamuzi wa huo ni kutokana na madai kwamba Artan alikuwa amehusishwa na makundi yanayoshukiwa kuwa ya kigaidi.