- 8,691 viewsDuration: 2:40Refa kutoka Somalia Omar Artan amezuiwa kuingia Marekani licha ya kuwa mmoja wa marefa waliochaguliwa na shirikisho la kandanda FIFA kusimamia mechi katika dimba la kombe la dunia la kandanda linaloanza siku ya Alhamisi.. Artan alikuwa amefika Miami lakini alizuiwa kuingia Marekani na akarudishwa Uturuki. Mashindano ya mwaka huu yanaandaliwa katika mataifa matatu Marekani, Canada na Mexico, lakini hata kabla mechi kuanza uwanjani tetesi kadhaa zimeibuka.