- 192 viewsDuration: 1:30Rescue Esports watawazwa mabingwa wa Pubg Mobile National Championship Kenya 2026,baada ya kuibuka washindi katika mashindano hayo yaliyowakutanisha timu 16 bora nchini. Ushindi huo sasa unawapeleka rescue Esports pamoja na timu mbili zaidi katika mashindano ya kikanda barani Africa.