Skip to main content
Skip to main content

Rigathi Gachagua asema matokeo ya Ol Kalou ni kionjo tu

  • | NTV Video
    5,258 views
    Duration: 2:40
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua, sasa ametangaza kuongeza makali ya viongozi wote kutoka mlima Kenya wanaounga mkono serikali ya Kenya Kwanza. Kulingana na Gachagua, juhudi za wananchi kupiga kura kwa asilimia kubwa kwa viongozi wa DCP na kuwaonyesha kivumbi wale wa Kenya Kwanza ni kionjo tu kwenye Operesheni anaoita Operesheni Fagia. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya