Skip to main content
Skip to main content

Ripoti ya bajeti yaonyesha matumizi ya juu Ikulu na Bunge

  • | Citizen TV
    4,116 views
    Duration: 2:09
    Msimamizi wa bajeti serikalini Margaret Nyakango sasa anasema kuwa taasisi kuu za serikali bado zinaonyesha utepetefu katika matumizi yao ya bajeti. Katika ripoti yake ya miezi tisa ya bajeti ya serikali kuu, Nyakango amesema kuwa Ikulu ya Rais pamoja na Parliament of Kenya zimetumia pesa nyingi katika usafiri kinyume na taarifa ya Rais kuwa safari hizo zitakatizwa ili kupunguza matumizi ya kiholela.