26 May 2026 1:15 pm | Citizen TV 438 views Duration: 2:04 Ripoti ya Kenya National Union of Teachers (KNUT) imeonyesha kuwa asilimia 97 ya walimu nchini wanaishi na madeni huku wengi wao wakikabiliwa na msongo wa kifedha na kushindwa kuweka akiba.