Skip to main content
Skip to main content

Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na ukimwi yaonya kupungua kwa ufadhili wa HIV

  • | NTV Video
    165 views
    Duration: 2:32
    Ufadhili wa kimataifa wa mapambano dhidi ya HIV unapungua, hali inayotishia huduma muhimu za kinga, upimaji na matibabu hasa katika nchi zinazoendelea. Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na UKIMWI (UNAIDS) yaonya kupungua kwa ufadhili wa HIV duniani huku changamoto zikiathiri mipango ya kinga, upimaji na matibabu ya HIV. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya