Skip to main content
Skip to main content

Ruto aagiza kupitiwa upya kwa mikataba ya wahudumu wa afya

  • | Citizen TV
    583 views
    Duration: 2:44
    Mkutano wa kwanza wa Afya nchini umekamilika huku serikali ikiahidi kulainisha mapungufu ya sekta ya afya nchini. Mdahalo mkubwa ukiibuka kuhusu migomo ya mara kwa mara ya wahudumu na kutotekelezwa kwa mikataba ya miaka ya nyuma. Na kama Mary Muoki anavyoarifu, Rais Ruto ameagiza kudurusiwa upya kwa mikataba ya awali ili kutatanzua mzozo unaoendelea kugubika sekta ya afya nchini.