Skip to main content
Skip to main content

Ruto aeleza wasiwasi wa Ebola nchini huku akitetea mradi wa Karantini Laikipia

  • | Citizen TV
    1,865 views
    Duration: 2:05
    Rais William Ruto ameiambia jamii ya kimataifa kuwa ugonjwa wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo ni wasiwasi mkubwa kwa Kenya. Akizungumza nchini Finland, Rais Ruto ameendelea kutetea hatua ya serikali ya Kenya kushirikiana na United States kujenga kituo cha karantini ya Ebola katika kaunti ya Laikipia.