- 2,475 viewsDuration: 2:26Rais William Ruto ameendelea na ziara yake ya Mlima Kenya kwa siku ya pili leo huku akimrushia vijembe aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua kwa kukosa ushawishi wa kisiasa. Ruto aliyehutubia mikutano maeneo bunge ya Nyeri mjini na Mathira, amejipiga kifua akimuonya Gachagua kuwa atawaaibisha wanaompinga debeni mwaka ujao.