Skip to main content
Skip to main content

Ruto aendeleza ziara ya Bonde la Ufa huku wandani wake wakitabiri ushindi wa 2027

  • | Citizen TV
    4,375 views
    Duration: 2:57
    Rais William Ruto ameendelea na ziara yake ya kaskazini mwa Bonde la Ufa huku darubini zikielekezwa kwa wandani wake kuhusu matamshi yao kuhusu ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Leo, Mbunge wa Pokot South David Pkosing akituma ujumbe kwa Tume ya Uchaguzi kutoleta majina ya wagombea wengine wa urais katika kaunti ya West Pokot wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Haya yanajiri huku Rais, aliyezuru West Pokot na Trans Nzoia, akien­de­leza mashambulizi yake dhidi ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya.