- 2,536 viewsDuration: 2:47Rais William Ruto amewahakikishia Wakenya kuwa uchaguzi mkuu ujao utakuwa wa amani na utulivu licha ya mvutano wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini. Akizungumza kuhusu hali ya usalama, Rais Ruto alisema magenge ya vijana yanayozua ghasia katika mikutano ya kisiasa ni tishio kwa usalama wa taifa. Aidha, ameviamuru vyombo vya usalama kuwachukulia hatua wahusika na kuhakikisha amani inadumishwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Seth Olale ana taarifa kamili.