- 8,597 viewsDuration: 2:38Rais William Ruto Jioni ya leo ameonekana kukiri makosa ya serikali yake wakati wa machafuko ya maadnamano ya Gen-Z miaka miwili iliyopita akidai kwamba damu haingepaswa kumwagika. Rais Ruto aliyezungumza kwenye kikao cha kuangazia miaka 16 ya katiba ya sasa hapa Nairobi, amesema kuwa matukio ya mwaka huo yatasalia kwenye kumbukumbu za nchi na hivyo kuagiza waliohusika kwa vyovyote vile wachukuliwe hatua.