Skip to main content
Skip to main content

Ruto amkosoa Kalonzo kuhusu SHA na nyumba za bei nafuu

  • | Citizen TV
    4,551 views
    Duration: 2:45
    Rais William Ruto amemkosoa kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, katika ngome yake ya Ukambani, akipinga matamshi yake kuhusu kufutilia mbali Bima ya Afya ya Jamii (SHA) na mradi wa nyumba za bei nafuu iwapo atatwaa uongozi. Akizungumza katika Kaunti ya Machakos, Rais Ruto amemtaka Kalonzo kutoa mbinu mbadala za kuwafaa Wakenya badala ya kutoa ahadi zisizo na msingi. Aidha, Rais Ruto amesisitiza kuwa serikali yake inaendeleza miradi ya maendeleo kote nchini bila