Skip to main content
Skip to main content

Ruto amshambulia Natembeya, asema atawapa upinzani wakati mgumu uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    10,101 views
    Duration: 2:41
    Rais William Ruto ameendelea kumshambulia Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya, akisema anahujumu miradi ya maendeleo ya serikali kuu katika kaunti hiyo. Rais Ruto, aliyezuru kaunti za Trans Nzoia na West Pokot leo, aliendelea kuwashambulia viongozi wa upinzani, akisema atawaonyesha kivumbi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.