Skip to main content
Skip to main content

Ruto amshambulia Sifuna kwa kupinga miradi ya serikali

  • | Citizen TV
    12,013 views
    Duration: 3:00
    Rais William Ruto ameelekeza mashambulizi yake ya wanasiasa wa upinzani kwa seneta wa Nairobi Edwin Sifuna akisema anaendeleza upinzani wa miradi ya serikali. Rais akimsuta Sifuna kwa kupinga mradi wa nyumba za serikali anaosema umewafaidi wakenya wengi. Rais Ruto amezungumza haya kwenye ziara yake ya kaunti za Elgeyo Marakwet na Baringo.