- 2,818 viewsDuration: 2:20Rais William Ruto ameelekeza mashambulizi yake kwa wanasiasa wa upinzani, akimlenga seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kwa madai ya kupinga miradi ya serikali. Rais amemsuta Sifuna kwa kupinga mradi wa nyumba za serikali, ambao anasema umewafaidi Wakenya wengi. Rais Ruto amezungumza haya wakati wa ziara yake katika kaunti za Elgeyo Marakwet na Baringo.