- 10,941 viewsDuration: 2:56Kwa mara nyingine tena, Rais William Ruto amemfokea mtangulizi wake, rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akimtaja kuwa tapeli wa siasa. Rais Ruto, aliyezungumza kwenye ziara ya maeneo ya North Rift, amemlaumu Kenyatta kwa kuendeleza upinzani dhidi ya utawala wake. Rais Ruto amewataka watu wa jamii ya Rift Valley kujisajili kwa wingi kama wapiga kura kuhakikisha anarejea Ikulu mwaka ujao.