Skip to main content
Skip to main content

Ruto asema hajakopa kupita kiasi tangu aingie madarakani

  • | Citizen TV
    2,881 views
    Duration: 3:06
    Rais William Ruto sasa anasema hajakopa kupita kiasi tangu achukue hatamu za uongozi. Kiongozi huyo wa taifa anasema ndiye amekopa kiwango cha chini zaidi cha fedha tangu alipochukua hatamu za uongozi miaka minne iliyopita. Hata hivyo, deni la taifa limeongezeka kutoka shilingi trilioni 8.7 alizoacha Rais mstaafu Uhuru Kenyatta hadi shilingi trilioni 13 kwa sasa.