10 Sep 2026 1:30 pm | Citizen TV 1,809 views Duration: 1:36 Rais William Ruto ametetea rekodi ya utawala wake, akisema ametimiza ahadi alizotoa kwa Wakenya. Rais Ruto anazuru Kaunti ya Kericho leo.