9 May 2026 7:40 pm | Citizen TV 592 views Duration: 1:06 Rais William Ruto ametetea rekodi yake ya utendakazi akisema mabadiliko yaliyofanywa katika sekta ya elimu yana athari chanya za kudumu.