- 2,048 viewsDuration: 3:03Rais William Ruto ameendelea kutetea rekodi yake ya maendeleo alipokuwa kwenye ziara yake ya maeneo ya Pwani, akielezea imani kuwa atawabwaga wapinzani wake kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Rais aliyezuru kaunti za Kwale na Kilifi ameendelea kuwarushia vijembe wapinzani wake akisema hawana ajenda yoyote kwa wakenya