- 4,850 viewsDuration: 3:03Rais William Ruto ameitaka idara ya polisi kuimarisha juhudi za kukabiliana na swala la wahuni katika siasa, Kwa kuwakamata sio tu vijana wanaokodishwa, ila pia wafadhili wao. Akizingumza alipoongoza mahafali ya maafisa zaidi ya elfu sita Katika chuo Cha mafunzo ya polisi Cha kiganjo huko nyeri, Rais amesema matukio ya siku za hivi majuzi katika mikutano ya kisiasa ni hatari Kwa usalama wa taifa, miezi kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu