Skip to main content
Skip to main content

Ruto awashutumu viongozi wa upinzani

  • | Citizen TV
    1,582 views
    Duration: 2:17
    William Ruto amewakashifu viongozi wa upinzani, akisema kazi yao ni kuwapotosha Wakenya. Akizungumza katika Meru County, Rais Ruto amesema serikali yake iko imara na itaendelea kutekeleza ahadi ilizotoa kwa Wakenya, licha ya ukosoaji kutoka kwa viongozi wa upinzani.