- 2,469 viewsDuration: 2:36Rais William Ruto amewasuta viongozi wa upinzani akisema kuwa hawana ajenda ya kuimarisha vijana na kupambana na ukosefu wa ajira. Rais Ruto akizungumza katika kaunti ya Samburu alikozindua mradi wa nyota amewarai vijana dhidi ya kutumika vibaya kisiasa