Skip to main content
Skip to main content

Ruto awataka Wakenya kuwajibikia Katiba, akosoa mahakama kwa kukwamisha sera za serikali

  • | Citizen TV
    2,158 views
    Duration: 2:53
    Akiongoza kikao cha leo kuhusu miaka 16 ya katiba ya sasa, Rais William Ruto amewataka wakenya kuendelea kuwajibikia katiba na mara kwa mara kuhakiki taifa linapoelekea tangu kuanza kuishinishwa kwa katiba ya mwaka 2010. Hata hivyo, Rais ameonekana kukosoa hatua ya mahakama ya mara kwa mara kukwamisha utekelezaji wa sera muhimu ambazo zinastahili kuangaziwa kisiasa.