Skip to main content
Skip to main content

Ruto azindua kituo cha kitaifa kuratibu huduma za ambulensi

  • | Citizen TV
    1,097 views
    Duration: 3:16
    Rais William Ruto amezindua rasmi Kituo cha Kitaifa Kuratibu Huduma za Ambulensi ambacho kitaunganisha vituo vyote nchini na kuratibu huduma za matibabu ya dharura, uokoaji na uhamisho hadi hospitalini katika kaunti zote 47. Ni hatua ambayo serikali inasema itachangia pakubwa kuokoa maisha. Wanaohitaji huduma hizo watahitajika tu kupiga simu wakitumia nambari 922.