12 Sep 2026 7:31 pm | Citizen TV 1,383 views Duration: 1:53 Rais William Ruto amesema kuwa Kenya iko wazi kwa wageni wote wanaotaka kufanya biashara na kuwekeza. Akizungumza katika kaunti ya Bomet, Rais Ruto amewaonya wakenya dhidi ya kuchukua sheria mkononi na kuwafurusha wageni.