- 519 viewsDuration: 51sWilliam Ruto pamoja na Mkewe, Rachel Ruto, walikutana na Jonas Gahr Støre na kushuhudia kutiwa saini kwa mikataba ya amani na upatanishi. Mikutano hiyo ililenga kuimarisha ushirikiano katika juhudi za kuendeleza amani, maridhiano na uthabiti katika eneo la Afrika Mashariki na kwingineko.