Skip to main content
Skip to main content

Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran

  • | BBC Swahili
    57,980 views
    Duration: 2:50
    Mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Marekani na Iran yaliyofanyika Islamabad, Pakistan, yamefikia ukomo bila makubaliano. Je ni sababu zipi zimekwamisha mazungumzo hayo? Sammy Awami #bbcswahili #hormuz #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw