Skip to main content
Skip to main content

Safaricom yafadhili kambi ya matibabu Ewaso Kedong

  • | Citizen TV
    720 views
    Duration: 1:34
    Kampuni ya Safaricom imefadhili kambi ya matibabu katika eneo la Ewaso Kedong, Kajiado. Wakazi wamepata huduma za matibabu pamoja na vipimo vya dalili za magonjwa mbalimbali.