Skip to main content
Skip to main content

Safaricom yazindua Capture the Good na Chapa Dimba Kisumu

  • | Citizen TV
    364 views
    Duration: 3:04
    Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezindua mashindano ya Capture the Good pamoja na makala ya tano ya Safaricom Chapa Dimba jijini kisumu. Capture the Good itawahusisha wapiga picha na watengenezaji wa video kusimulia hadithi za matumaini na mabadiliko chanya katika jamii. Washindi wawili watajishindia shilingi milioni moja kila mmoja, huku wachezaji watakaobobea katika Chapa Dimba wakiunda timu itakayowakilisha Kenya katika mashindano ya Gothia Cup nchini Sweden.