- 214 viewsDuration: 1:52Sekta ya utalii nchini inatarajiwa kuendelea kuimarika katika siku za usoni kufuatia ongezeko la watalii wa kimataifa na wa ndani. Wadau wa sekta hiyo wanasema kuongezeka kwa idadi ya wageni kunachangia ukuaji wa uchumi, kuongeza mapato na kuimarisha biashara zinazotegemea utalii katika maeneo mbalimbali ya nchi.