Skip to main content
Skip to main content

Seneta wa Samburu ataka uchunguzi baada ya mifugo kuuawa

  • | Citizen TV
    1,477 views
    Duration: 1:36
    Maseneta Lelegwe Ltumbesi wa Samburu na mwenzake Lenku Seki Ole Kanar wa Kajiado wameishtumu serikali baada ya mifugo kuuwawa na watu wanaoshukiwa kuwa maafisa wa polisi huko Losesia kaunti ya Samburu. wakizungumza huko malindi kwenye kikao cha seneti mashinani, wameitaka wizara ya usalama kuwachukulia hatua maafisa wa polisi wanaodaiwa kuwauwa mifugo hao.