Skip to main content
Skip to main content

Seneta wa Tana River awaonya wakazi kuhusu utabiri wa El Niño

  • | Citizen TV
    529 views
    Duration: 1:26
    Seneta wa Tana River Danson Mungatana amewataka wakazi kuhamia maeneo salama na kutopuuza utabiri wa Idara ya Hali ya Hewa kuhusu El Niño.